News and Updates
Latest updates from Hon. Lucy Mwakyembe, MP, Tanzania news and international headlines.
MPLucy Updates
Official published by the Office of the MP.
MPLucy
Mhe. Lucy Edward Mwakyembe Ashiriki Hafla ya Kuchangia Mfuko wa Matibabu kwa Watoto Wenye Ugonjwa wa Sikoseli
Mbunge wa Viti Maalum β Kundi la Wafanyakazi, Mhe. Lucy Edward Mwakyembe, ameshiriki katika hafla maalum ya kuchangia Mfuko wa Matibabu ya…
Read More β
MPLucy
Changia Kuokoa Maisha: Tuunge Mkono Huduma za Kupandikiza Uroto na Figo kwa Hospitali ya Benjamin Mkapa
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mwajabu Rajabu Mbwambo, ametoa wito kwa wananchi wote kuungana na Hospitali ya Benjamin…
Read More β
MPLucy
Lucy Mwakyembe Apongeza Mpango wa Serikali wa Bima ya Kilimo
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Lucy Edward Mwakyembe, amepongeza hatua ya Serikali ya kuanzisha Bima za Kilimo, akieleza kuwa mpango huo utakuwa…
Read More β
MPLucy
Mbunge Lucy Mwakyembe Aishauri Wizara ya Afya Kuanzisha Tawi la JKCI Zanzibar
Mbunge wa Viti Maalum β Kundi la Wafanyakazi, Mhe. Lucy Mwakyembe, ameishauri Serikali kupitia Wizara ya Afya kujenga tawi la Taasisi ya…
Read More β
MPLucy
Mhe. Lucy E. Mwakyembe Awatakia Wafanyakazi Heri ya Siku ya Mei Mosi
Mbunge wa Viti Maalum β Kundi la Wafanyakazi, Mhe. Lucy E. Mwakyembe, amewatakia wafanyakazi wote wa Tanzania na duniani kote heri ya…
Read More β
MPLucy
Mhe. Lucy Mwakyembe Ashiriki Kongamano la Wanawake Jijini Dodoma
Mbunge wa Viti Maalum β Kundi la Wafanyakazi, Mhe. Lucy E. Mwakyembe, ameshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya…
Read More β
MPLucy
Mhe. Lucy Edward Mwakyembe Aungana na Watanzania Kuadhimisha Siku ya Muungano 2026
Mhe. Lucy Edward Mwakyembe, Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi, ameungana na Watanzania kote nchini kuadhimisha Siku ya Muungano tarehe 26 Aprili 2026,…
Read More β
MPLucy
Wanawake Viongozi Wahamasishe Nashat safi vijijini
Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mwakyembe ameishauri Serikali kupitia Wizara ya Nishati kufanya kampeni za kuhamasisha matumizi ya nishati safi vijijini kupitia…
Read More β
MPLucy
Lucy Mwakyembe: Ushauri Kwa Wafanyakazi.
Lucy Mwakyembe: Wafanyakazi washauriwe kujiunga kwenye vyama vya wafanyakazi wanavyotaka, wasiungwe bila ridhaa yao.
Read More β
MPLucy
Mhe. Lucy Mwakyembe Akabidhi Vitenge kwa Wafanyakazi wa TTCL Zanzibar kuelekea Maadhimisho ya Mei Mosi
Mbunge wa Viti Maalum β Kundi la Wafanyakazi, Mhe. Lucy Edward Mwakyembe, amekabidhi vitenge kwa wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL-Corp)…
Read More β