Karibu kwenye Tovuti Rasmi

Ya Mheshimiwa Lucy Mwakyembe(Mrs), Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi – Wafanyakazi (CCM Zanzibar). Tovuti hii imelenga kutoa taarifa za shughuli za kibunge, kusikiliza maoni ya wananchi, na kuimarisha uwazi na ushirikishwaji katika utumishi wa umma.

Tanzania