Author: Lucy Mwakyembe
-

Mhe. Lucy Edward Mwakyembe Ashiriki Hafla ya Kuchangia Mfuko wa Matibabu kwa Watoto Wenye Ugonjwa wa Sikoseli
Mbunge wa Viti Maalum – Kundi la Wafanyakazi, Mhe. Lucy Edward Mwakyembe, ameshiriki katika hafla maalum ya kuchangia Mfuko wa Matibabu ya Upandikizaji wa Figo na Uloto kwa watoto wenye ugonjwa wa Sikoseli, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za k
-

Changia Kuokoa Maisha: Tuunge Mkono Huduma za Kupandikiza Uroto na Figo kwa Hospitali ya Benjamin Mkapa
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mwajabu Rajabu Mbwambo, ametoa wito kwa wananchi wote kuungana na Hospitali ya Benjamin Mkapa katika kuchangia huduma za kupandikiza uroto na figo ili kuwaokoa wagonjwa wanaohitaji matibabu hayo muhimu.
-

Lucy Mwakyembe Apongeza Mpango wa Serikali wa Bima ya Kilimo
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Lucy Edward Mwakyembe, amepongeza hatua ya Serikali ya kuanzisha Bima za Kilimo, akieleza kuwa mpango huo utakuwa mkombozi kwa wakulima na kuimarisha usalama wa uzalishaji wa mazao nchini.
-

Mbunge Lucy Mwakyembe Aishauri Wizara ya Afya Kuanzisha Tawi la JKCI Zanzibar
Mbunge wa Viti Maalum – Kundi la Wafanyakazi, Mhe. Lucy Mwakyembe, ameishauri Serikali kupitia Wizara ya Afya kujenga tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zanzibar ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za matibabu ya moyo kwa wananchi wa vis
-

Mhe. Lucy E. Mwakyembe Awatakia Wafanyakazi Heri ya Siku ya Mei Mosi
Mbunge wa Viti Maalum – Kundi la Wafanyakazi, Mhe. Lucy E. Mwakyembe, amewatakia wafanyakazi wote wa Tanzania na duniani kote heri ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), akisisitiza umuhimu wa haki, maslahi na mazingira bora kazini
-

Mhe. Lucy Mwakyembe Ashiriki Kongamano la Wanawake Jijini Dodoma
Mbunge wa Viti Maalum – Kundi la Wafanyakazi, Mhe. Lucy E. Mwakyembe, ameshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Hall jijini Dodoma.
-

Mhe. Lucy Edward Mwakyembe Aungana na Watanzania Kuadhimisha Siku ya Muungano 2026
Mhe. Lucy Edward Mwakyembe, Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi, ameungana na Watanzania kote nchini kuadhimisha Siku ya Muungano tarehe 26 Aprili 2026, akisisitiza umuhimu wa umoja, mshikamano na maendeleo ya taifa.
-

Wanawake Viongozi Wahamasishe Nashat safi vijijini
Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mwakyembe ameishauri Serikali kupitia Wizara ya Nishati kufanya kampeni za kuhamasisha matumizi ya nishati safi vijijini kupitia viongozi wanawake ambapo mkakati huo utaharakisha kufikia lengo la kila mwananchi kutumia nishati hiyo. Amesema endapo timu hiyo itaundwa kutoa elimu kata kwa kata, itasaidia wanawake wengi waliopo vijijni ambao hawana uelewa wa…
-

Lucy Mwakyembe: Ushauri Kwa Wafanyakazi.
Lucy Mwakyembe: Wafanyakazi washauriwe kujiunga kwenye vyama vya wafanyakazi wanavyotaka, wasiungwe bila ridhaa yao.
-

Mhe. Lucy Mwakyembe Akabidhi Vitenge kwa Wafanyakazi wa TTCL Zanzibar kuelekea Maadhimisho ya Mei Mosi
Mbunge wa Viti Maalum – Kundi la Wafanyakazi, Mhe. Lucy Edward Mwakyembe, amekabidhi vitenge kwa wafanyakazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL-Corp) Zanzibar ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi