Category: Uncategorized
-
Jambo World!
Mheshimiwa Lucy MwakyembeMbunge wa Viti Maalum – Wafanyakazi (CCM Zanzibar) Ndugu Wananchi,Viongozi wa Chama cha Mapinduzi,Wafanyakazi wenzangu,na wapenda maendeleo, Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa dhati kwa kunitembelea kupitia tovuti hii rasmi. Kwa unyenyekevu na shukrani nyingi, napokea dhamana niliyokabidhiwa ya kuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi, nikiwa mwakilishi wa Wafanyakazi, nafasi…